Connect with us

NaijaMusic

Harmonize – Kwangwaru

Kwangwaru by Harmonize Mp3 Download

Get this song from Harmonize titled Kwangwaru. Rajab Abdul Kahali, also known by his stage name Harmonize, is a Tanzanian Bongo Flava recording artist, and entrepreneur. Throughout his career, Harmonize has worked with many other African musicians, including Burna Boy, Yemi Alade, Ruger, Sarkodie and Naira Marley. The song will make your playlist if love good music.

Use the link below to stream and download Kwangwaru by Harmonize.

Lyrics Of Kwangwaru by Harmonize

HmmI wish ningekuwaga na mavumbaMkwanja manotiNikuhonge vya thamaniAma, niwe fundi wa kuigiza ka’ KanumbaMasanja Joti usiwe mbali namiHmmMy darling, I need you love, ohUwe nami haki ya Mungu nakupendaNobody can show you love, ohUsiwaamini ukishawapa wanakwenda
Oh, basi jilegezeNikubebe mgongoni (iyelewi)Deka nikudekeze nikutunze kama mboni (iyelewi)Wakija wapoteze jifanye kama huwaoni (iyelewi)Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi)
Oh, babyAsa dansi nikuone (kwa ngwaru)Wa Bami Jo (kwa ngwaru)Ololu Femi (kwa ngwaru)Oh, babyAsa cheza nikuone (kwa ngwaru)Wa Bami Jo (kwa ngwaru)Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)
AahMoyo wangu wa muarobainiMchungu ukiuziwaSamehe mara sabiniHuo uzungu sija jaaliwaUngependa juu ama chiniKwenye uvungu uparemiwaNikumbatie baridiniKwenye tundu kama njiwaMoyo wangu ni wa makutiUsinijie na kibiriti (hasa we’)Penzi likageuka chukiNyumba ikawa kibiti (hasa we’)Nipatie vya kitandaniNipe mpaka kwenye kiti (hasa we’)Ili asiniingie shetaniNawe nikaja kukucheati
Oh, basi jilegezeNikubebe mgongoni (iyelewi)Kitandani nikolezeKwa miuno ya kingoni (iyelewi)Kisha nibembelezeNirudishe utotoni (iyelewi)Weka mate nitelezeKama nyoka pangoni (iyelewi)
Oh, babyAsa dansi kidogo (kwa ngwaru)Oh, wa Bami Jo (kwa ngwaru)Ololu Femi (kwa ngwaru)Oh, babyAsa cheza nikuone (kwa ngwaru)Wa Bami Jo (kwa ngwaru)Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)
Ah!Nataka kucheza chura na ingali umesimamaAah, inama inamaAsa waonyesheAah, inama inamaUnachezajeAah, inama inamaUnataka maji ya kisima na mwoga kuchutamaAah, inama inamaEbu waonyesheAah, inama inamaUnachotajeAah, inama inamaUnataka kupiga deki wima umesimamaAah, inama inamaEbu tuonyesheAah, inama inamaUnapigajeAah, inama inamaSi unataka vya pool table sa’ mbona unajibanaAah, inama inamaEbu tuonyesheAah, inama inamaUnalengajeAah, inama inama
Wasafi RecordOya, wanangu wa kigogo (aah, inama)Nipe za Mose Iyobo (aah, inama)Vunja vunja kidogo (aah, inama)Aah, niongeze mikogo (aah, inama inama)
 

Download Mp3 Here

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending Music