GospelMusic
Rose Muhando – Ndivyo Ulivyo
Ndivyo Ulivyo by Rose Muhando Mp3 Download
Get this song by Rose Muhando titled Ndivyo Ulivyo. Rose Muhando is a Tanzanian gospel singer, songwriter and choreographer. She is regarded as one of the best gospel singers of her generation with popular songs The song will make your playlist if love good music.
Use the link below to stream and download Ndivyo Ulivyo by Rose Muhando.
Lyrics Of Ndivyo Ulivyo by Rose Muhando
Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo,Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo,Nilidhani ‘kama ndoto, kumbe ndivyo ulivyo,Nilifikiri nachanganyikiwa kwa kusema hivi, kumbe ndivyo ulivyoUmekuwa mpole, umekuwa mwenye huruma, kumbe ndivyo ulivyo ooh,Si mwepesi wa hasira, baba ni mwingi wa rehema, ndivyo ulivyo oh,Wewe unatuwazia mema, kuliko tunavyodhani, ndivyo ulivyo,Mawazo yako hayafanani na mawazo ya wanadamu, baba ndivyo ulivyo,Nani kama wewe, mwepesi wa kusamehe, ndivyo ulivyo ooh,Wema wako hauneneki katikati ya wanadamu Jehova,Kumbe ndivyo ulivyo; Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyoOoh ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga.
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Tulia kwa Mungu, hushuka na kutufariji, Baba kumbe ndivyo ulivyo oh,Usiku na mchana hulali husinzii Mungu uliye hai, ndivyo ulivyo ooh,Pale tusipoweza kutenda wenyewe kwa mikono yetu Yehova, ndivyo ulivyo ooh,Huingilia kati ‘yale yote tunayoshindwa wewe ndivyo ulivyo,Msaada wakati tunapochoka, Yehova Ndivyo ulivyo ooh;
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Mungu uliwakusanya walioachwa, Ukawakumbatia baba ndivyo ulivyo,Waliokosa tumaini weka tumaini jipya kwao, ndivyo ulivyo ooh,Waliokata tamaa, wewe unawatia nguvu baba ndivyo ulivyo ooh,Vile nionavyo mimi si kama utazamavyo baba kumbe ndivyo ulivyo oh,Huruma zako zimevuka vilindi vya bahari, Mungu we eeh kumbe ndivyo ulivyo,Hakuna Kupinga;
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna KupingaNdivyo ulivyo, ndivyo ulivyo OohNdivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
-
NaijaMusic4 months agoRuby Amanfu – Beautiful You are
-
NaijaMusic4 months agoFeranmi Golden Angel – Humble Cry ft. Toluwanisings
-
NaijaMusic4 months agoKhenyzee – FaceTime12 (Acoustic Version)
-
NaijaMusic4 months agoJerry Jarah – Ko Na Sufa
-
NaijaMusic5 months agoDbn Nyts – Shumaya
-
NaijaMusic2 years agoMirabel Somi – Good God(Lyrics)
