Connect with us

GospelMusic

Rose Muhando – Nibariki

Nibariki by Rose Muhando Mp3 Download

Get this song by Rose Muhando titled Nibariki. Rose Muhando is a Tanzanian gospel singer, songwriter and choreographer. She is regarded as one of the best gospel singers of her generation with popular songs The song will make your playlist if love good music.

Use the link below to stream and download Nibariki by Rose Muhando.

Lyrics Of Nibariki by Rose Muhando

Nimechoka matesoNimechoka tabuBaba Mungu naja kwakoNibariki na mimiKila siku taabuKila siku kilioMachozi na huzuni baabaWenzangu wananichekaNipitapo kwenye taabuBaba naja kwakoNibariki na mimiNimechoka kutamani vitu vizuri vya wenzanguNami nakuja kwakoNibariki na mimiIkiwa ni laanaIkiwa ni mikosiIlikwisha msalabani baabaNeno lako linasemaNiite nitaitikaNami nakuita bwanaNibariki na mimiNibariki, nibariki, nibariki BwanaNibariki, nibariki uniguse bwana
Majirani wananishangaWengine wananichekaaEti kwasababu ya shida mimiNimekua kituko nikipita kwa wenzanguNimekua kichekesho mimiWatoto wangu wana shidaNdugu zangu wantaabuYesu nakuja kwakoNikumbuke bwanaNami nimekuaminiNami nakungojeaKwako nanyenyekeaNibariki na mimiNimechoka mateso babaNimechoka kilioNimechoka taabuNibariki bwanaNibariki, nibarik, i nibariki BwanaNibariki, nibariki uniguse Bwana
Nibariki (nibariki) nibariki (nibariki) nibariki (nibariki) BwanaNibariki (e le le baba) nibariki (nibariki) uniguse (baba) Bwana(Nakuja kwako) nibariki (na inua mikono) nibariki (na inua mikono) Bwana(Baba nibariki nami) nibariki (nibariki) nibariki (nibariki)Nibariki (nibariki baba) uniguse Bwana(Nime tchoka mateso) nibariki (nibariki) nibariki(Nibariki) nibariki (nibariki) nibariki BwanaNibariki (nibariki) nibariki (nibariki baba) uniguse Bwana(A unikumbuke namimi) nibariki (nibariki baba) (nibariki)(Nibariki Jehovah) nibariki ‘halleluay) BwanaNibariki (halleluiay) nibariki ((halleluiyah)) uniguse (uniguse) Bwana(Hayo) nibariki (nibariki baba) nibariki bwana (nime tchoka nibariki)Nibariki (nibariki) nibariki (halleluiyah) uniguse BwanaHalleluiyah
Nikifika Kanisani, najiuliza mara mbili, sadaka nitatoa nini? mimiWenzangu wainukapo, waelekea madhabauniNamimi najibarafu zangu sina cha kukupaBaba nakuja kwako, msalabani nainama, Macho yangu nainua, nibariki BwanaIkiwa ni laana, ikiwa ni mikosi, ilikwisha msalabani, nikumbuke BwanaNikumbuke, nikumbuke, nikumbuke BabaNikumbuke, nikumbuke nibariki namimi
Naamka asubuhi, naamka asubuhiAlfajiri na mapema, naenda niendakoNatafuta riziki, mtchana Kutwa wa juakaliMvua ndio kivuli changu BabaNimesikia ya kwamba ulimbariki SarahBaba nakuja kwako nibariki namimiNimesikia tenalLeo ulimbariki AbrahamuNami nimekuja kwako nibariki BwanaNimechoka masimango, nimechoka manyanyaso, nimechoka kuonewaNaja Kwako BwanaNibariki, nibariki, nibariki BwanaNibariki, nibariki, nibariki uniguse bwana
Nibariki, nibariki (nibariki baba) nibariki (nibariki) BwanaNibariki (halleluiyah) nibariki (halleluiyah) uniguse Bwana(Hayo) nibariki (nibariki baba) nibariki (nibariki) nibariki Bwana(Unikumbuke baba) nibariki (nibariki) nibariki (halleluiyah) uniguse Bwana(Yelele baba) nibariki (yelele baba), nibariki (nibariki) nibariki Bwana(halleluiyah) nibariki, nibariki uniguse Bwana(Nibariki na mimi Bwana) nibariki (nibariki baba) nibariki(Nibariki na mimi) nibariki (halleluiyah) nibariki Bwana(Halleluyah nikumbu baba) nibariki (nikumbuke baba) nibariki uniguse Bwana(Nitembeleye Bwana) nibariki (nibariki nami) nibariki (niguse Bwana) nibariki Bwana(Niguse namimi) nibariki (niguse baba) nibariki (halleluiyah) uniguse Bwana
 

Download Mp3 Here

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending Music