Connect with us

GospelMusic

Rose Muhando – Nibebe

Nibebe by Rose Muhando Mp3 Download

Get this song by Rose Muhando titled Nibebe. Rose Muhando is a Tanzanian gospel singer, songwriter and choreographer. She is regarded as one of the best gospel singers of her generation with popular songs The song will make your playlist if love good music.

Use the link below to stream and download Nibebe by Rose Muhando.

Lyrics Of Nibebe by Rose Muhando

Nibebe, nibebe, nibebe, nibebeNibembeleze, nibebeEh Yesu, unibebeNichukue unibebeMikononi mwako niwe salama
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebeNibembeleze, nibebeEh Yesu, unibebeNichukue unibebeMikononi mwako niwe salama
Eh Mungu angaliya kunena kwanguNa uisikie sauti ya kilio changuMoyo wangu umechoka sana, BabaKwa ajili ya wingi wa mateso yanguNafsi yangu imegandamana na mavumbiNiokowe mikononi mwa midomo ya ubwaKwanini ninateswa sana kwa ajili yako babaga?Niokoe mikononi mwa watu wabayaFanya hima unisaidie, nibebe
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh)Nibembeleze, nibebe (Baba)Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)Nichukue unibebe (aah)Mikononi mwako niwe salamaNimechoka peke yangu safari ngumu ni ndefu, nibebe
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)Eh Yesu, unibebe (Baba)Nichukue unibebeMikononi mwako niwe salama
Macho yangu yamedhoofukwa machoziKwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani?Kwa kuwa aliyenitukana siye adui yanguBali ni rafiki yangu tuliyejuana naye sanaTulikula pamoja, tulisali pamojaKanisani pamojaBwana asifiwe kwa sanaKumbe mwenzangu alikusudia kuniangamiza, eh
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh)Nibembeleze, nibebe (Baba)Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)Nichukue unibebe (Baba)Mikononi mwako niwe salama (Yesu eh)Kweli nimeamini adui wa kwanza ni yule wa nyumbani mwako
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu eh)Nibembeleze, nibebe (Baba)Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)Nichukue unibebe (Baba yangu)Mikononi mwako niwe salamaAta niliyo wasaidiya na wameni shuudiya uwongo
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh)Nibembeleze, nibebe (Baba)Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)Nichukue unibebe (aah)Mikononi mwako niwe salama
Wengine wakinibeba nitaambulia matatizo, Yesu nibebeDunia ikinibeba, itanipeleka jehanamu, Yesu nibebeMarafiki wakinibeba watanipeleka pabaya, Yesu nibebeBaba nibebe, Yesu nibebeNibembeleze, nibebeNichukue mbiguni salama
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh)Nibembeleze, nibebe (Baba)Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)Nichukue unibebe (Baba yangu)Mikononi mwako niwe salamaNimechoka pekee yangu safari ngumu ni ndefu, siwezi
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)Eh Yesu, unibebe (Baba)Nichukue unibebe (Baba yangu)Mikononi mwako niwe salama
Nifike mbinguni nimwone Eliya (amen)Nifike mbinguni nimwone Yakobo (amen)Pamoja na kiti cha enzi mbinguni kwa baba (amen)Njia za dhahabu nami nakatembelee (amen)Oh baba nibebe, Yesu nibebeNibembeleze, nibebe, nichukuwe mbinguni salama
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu eh)Nibembeleze, nibebe (Baba)Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)Nichukue unibebe (Baba yangu)Mikononi mwako niwe salamaNakwita Yesu unibebe, mwokozi
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)Eh Yesu, unibebe (Baba)Nichukue unibebe (Baba yangu)Mikononi mwako niwe salama
Nifike mbinguni nikamwone baba (amen)Nifike mbinguni nikapumzike (amen)Katika kiti cha enzi nami nikasujudie (amen)Niwaone wenzangu wale walionitangulia (amen)Niikale matunda ya mti wa uzima (amen)Yesu nibebe, baba nibebeNibembeleze, nibebe nifikishe mbiguni salama
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu eh)Nibembeleze, nibebe (Baba)Eh Yesu, unibebe (Yesu eh)Nichukue unibebe (Yesu eh)Mikononi mwako niwe salama (Baba)Nimechoka peke yangu dunia ngumu pekeyangu siwezi
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)Eh Yesu, unibebe (Baba)Nichukue unibebe (baba yangu)Mikononi mwako niwe salamaNimechoka peke yangu safari ngumu ni ndefu, siwezi
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba)Nibembeleze, nibebe (Yesu eh)Eh Yesu, unibebe (Baba yangu)Nichukue unibebe (aah)Mikononi mwako niwe salama
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebeNibembeleze, nibebeEh Yesu, unibebeNichukue unibebeMikononi mwako niwe salama
 

Download Mp3 Here

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending Music