Connect with us

GospelMusic

Rose Muhando – Nipe Uvumilivu

Nipe Uvumilivu by Rose Muhando Mp3 Download

Get this song by Rose Muhando titled Nipe Uvumilivu. Rose Muhando is a Tanzanian gospel singer, songwriter and choreographer. She is regarded as one of the best gospel singers of her generation with popular songs The song will make your playlist if love good music.

Use the link below to stream and download Nipe Uvumilivu by Rose Muhando.

Lyrics Of Nipe Uvumilivu by Rose Muhando

Nimekukimbilia wewe bwanaMwamba wangu na ngome yanguNakuinulia macho yanguBaba mungu naja kwakoNainua mikono yangu juuNahitaji msaada wakoNimekukimbilia wewe bwanaMwamba wangu na ngome yanguNakuinulia macho yanguBaba mungu naja kwakoNainua mikono yangu juuNahitaji msaada wakoMagonjwa mengi yamenitesaYesu nipe uvumilivuDhiki nyingi zimenisongaBaba nipe uvumilivuWatoto wangu wanaangaikaYesu nipe uvumilivuWalonizalisha wamenikimbiaBaba nipe uvumilivuMaisha yangu yamo mashakaniBaba nipe uvumilivu
Baba, baba, Mungu nipe uvumilivu(Nipe bwana) baba, (bwana wangu) babaMungu nipe uvumilivuBwana, bwana, Yesu nipe uvumilivuBwana, bwana, Yesu nipe uvumilivu
Hata ndugu zangu wamenigeukaNahitaji faraja yakoWamejitenga mbali namiNasogea kitini pakoMbele yangu kuna giza kubwaNdiwe mwanga wa njia zanguWewe ni bwana, mume wa wajaneYesu nipe uvumilivuTena wewe ni baba wa yatimaBaba nipe uvumilivuPia wewe ni mungu wa maskiniYesu nipe uvumilivu
Baba, baba, Mungu nipe uvumilivuBaba, baba, Mungu nipe uvumilivuBwana, bwana, Yesu nipe uvumilivuBwana, bwana, Yesu nipe uvumilivu
Adui zangu wamenizungukaWataka kuniangamizaWamenitegea mitego mingiWanawinda roho yanguNafsi yangu inazimiaNjoo hima nisaidie (repeat twice)
Baba, baba, Mungu nipe uvumilivuBaba, baba, Mungu nipe uvumilivu(Oh nakuhitaji Jehova Shama,Wewe umeketi mahali pa juuWewe bwana wa wajaneWewe Mungu wa yatimaWewe unayeketi na maserafi na makerubiWewe mungu wakati wa shida zanguWewe uangazaye njia zanguOh unipendaye nakimbilia kwako)
 

Download Mp3 Here

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending Music