GospelMusic
Rose Muhando – Shujaa Wa Msalaba
Shujaa Wa Msalaba by Rose Muhando Mp3 Download
Get this song by Rose Muhando titled Shujaa Wa Msalaba. Rose Muhando is a Tanzanian gospel singer, songwriter and choreographer. She is regarded as one of the best gospel singers of her generation with popular songs The song will make your playlist if love good music.
Use the link below to stream and download Shujaa Wa Msalaba by Rose Muhando.
Lyrics Of Shujaa Wa Msalaba by Rose Muhando
Nainua macho yanguNitazame mbinguniMoyo Wangu unasema niwe Mungu wanguKilindi cha moyo Wangu kimefurika neno lakoWacha nikwabudu ewe Mungu wangukwenye kiti cha rehema, kumejawa utukufu wakoWacha nikwabudu ewe Mungu wangukileleni pa msalaba, kumeandikwa jina lakoSimba wa wayahudi ndiwe Mungu waangu
Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu.Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu.Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
Wingu la uwepo wako, limeshuka kwa watu wakoUtukufu una wewe ewe Mungu wanguNguvu zilizo shinda kaburizionekane kwa watu wako.Nani kama wewe ewe Mungu wanguMakovu na misumari yatangaza utukufu wako BabaWacha nikwabudu ewe Mungu wanguTaji ya miba na misumariYatangaza uwezo wakoMfalme wa wafalme ndiwe Mungu wangu
Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juuWacha nikwabudu ewe Mungu wangu
Siku ya msiba wanguNitalitaja jina lakoBwana wa Mabwana ndiwe Mungu wanguSitanyamaza mchana sitakaa kimya usikuWacha nikusifu ewe Mungu wanguNguvu na uweza wako ziko mikononi mwakoNani kama wewe ewe Mungu wanguUlipewa jina jipya lipitalo majina yoteBwana wa mabwana ewe Mungu wangu
Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juuWacha nikwabudu ewe Mungu wangu
Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juuWacha nikwabudu ewe Mungu wangu
Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juuWacha nikwabudu ewe Mungu wanguShujaa wa msalaba, umeinuliwa juuWacha nikwabudu ewe Mungu wangu
Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juuWacha nikwabudu ewe Mungu wangu
-
NaijaMusic4 months agoRuby Amanfu – Beautiful You are
-
NaijaMusic4 months agoFeranmi Golden Angel – Humble Cry ft. Toluwanisings
-
NaijaMusic4 months agoKhenyzee – FaceTime12 (Acoustic Version)
-
NaijaMusic4 months agoJerry Jarah – Ko Na Sufa
-
NaijaMusic5 months agoDbn Nyts – Shumaya
-
NaijaMusic2 years agoMirabel Somi – Good God(Lyrics)
