GospelMusic
Rose Muhando – Tenda Wema
Tenda Wema by Rose Muhando Mp3 Download
Get this song by Rose Muhando titled Tenda Wema. Rose Muhando is a Tanzanian gospel singer, songwriter and choreographer. She is regarded as one of the best gospel singers of her generation with popular songs The song will make your playlist if love good music.
Use the link below to stream and download Tenda Wema by Rose Muhando.
Lyrics Of Tenda Wema by Rose Muhando
Woi woi woiee… nendaTenda wema nenda zako… nendaUsingoje kusifiwa mama weeUsisubiri asante …nendaUsingoje shukrani mama wee.nendaWanadamu si wema mama weeWana meno wanauma mama weeWanawasha kama pilipili mama weeWanaupupu utajikuna wee mamaMeno yao kama chumaaa… mama weeTenda wema nenda zako utalipwa na MunguUkisubiri kusifiwa mama weUkingoja shukurani mama wee.mamaMakubwa yatakukuta mwenzangu weeMakubwa yatakukuta pole weMatusi utayasikia pole weeDhihaka utazitambua mama weeKachiba utatupiwa mama weeTenda wema nenda zako mamaNasema usigeuke nyuma …nenda mamaNenda… nasema nenda… aaah nenda utalipwa na MunguSiku ya mateso yako pole weeSiku ya mateso yako mama wee pole weeSiku ya huzuni yako mamaSiku ya mahangaiko yako mama weSiku ya anguko lako mama wee… pole weeWaliokuwa rafiki zako mamaWatageuka mwiba kwako poleeWaliokula chakula chako mamaWatageuka anguko laako mama wee poleeUliotenda wema kwao pole weeYatageuka maumivu yako poleeWaliokula chakula chako… siku ileWatasahau wema wako mwenzangu weeWatakaa vibarazani jamani eeeWatacheka na vicheko mama weeMajina watakupatia pole weeTena mabaya yenye hatia tenaMabaya yenye udhia kwakoWatakuita kimbelembele kimbelembeleAti wewe kimbelembele mwenzangu kimbelembeleWema wako kimbelembele kimbelembeleUliwasaidia kimbelembele kimbelembeleUliwasaidia kimbelembele ati wewe kimbelembelemama mama… mama wee mama mamaUsichoke kutenda mema utalipwa na MunguWacha niseme ukweli jamani eeWacha niseme ukweli mwenzangu weeWanadamu hawabebeki hawabebekiHata ukifanya nyinyi hawabebekiWabebe kwa mbeleko ya chuma… hawabebekiWabebe kwa maturubai .hawabebekiWatachukua na viwembe jama ee mamaWatachana turubai kweliWachane wakukimbie pole weeWabebe kwa mbeleko ya chuma hawabebekiWatatafuta misumari jama ee mamaWatagonga ngo ngongo ngongo ngongoWape chakula wale haya washibe wakutukane jama ee mamaWape chakula wale tena kesho watakushitaki mama weeNenda nenda… aah nenda utalipwa na Mungu(uuuuuu)Mukama kwange kwagara kwagaraMwami wanje kwagara kwagaraMukama kwange kwagara nyo kwagaraOmukwano kwagara kwagaramama mama wee… mama mama wee mamaTenda wema nenda zako utalipwa na Mungu(uuuu)
-
NaijaMusic4 months agoRuby Amanfu – Beautiful You are
-
NaijaMusic4 months agoFeranmi Golden Angel – Humble Cry ft. Toluwanisings
-
NaijaMusic4 months agoKhenyzee – FaceTime12 (Acoustic Version)
-
NaijaMusic4 months agoJerry Jarah – Ko Na Sufa
-
NaijaMusic5 months agoDbn Nyts – Shumaya
-
NaijaMusic2 years agoMirabel Somi – Good God(Lyrics)
