Connect with us

GospelMusic

Israel Mbonyi – Nitaamini

Nitaamini by Israel Mbonyi Mp3 Download

Get this song by Israel Mbonyi titled Nitaamini. Israel Mbonyi (Born 20 May 1992) is a Rwandan Gospel singer, performer, and singer-songwriter. His passion for music began when he was a kid. This prompted him to regard music as his career. The song will make your playlist if love good music.

Use the link below to stream and download Nitaamini by Israel Mbonyi.

Lyrics Of Nitaamini by Israel Mbonyi

Sasa naapa Hakuna miungu ntaaminiSatajitia unajisi , Chakula cha ufalmeNa Sitauza urithi wa wokovu, anasa za KisasaNiNa uhakika waweza , waweza kuniponya,Hata usipo niponya Sitaabudu Masanamu
Naelewa maji na moto nitapita, Kwenye uvuli wa mautiNina wewe sitaogopa kamweMungu wangu wanishika mkono, Wautuliza moyo wangu,Si na mashaka wanibeba mgongoniWaweza tuma neno la uzima, libadishe yoteHata usiyafanye hayo yooteBado nitaamini
Si Mara y’a kwanza kunitowa katika magumuNi na ushuhuda zaidi ya moja, We ni mwaminifuNi na historia maalum, We ni chemchemi ya uzima.
Nitaamini, bado nitaaminiUkiniponya nitaamini, Hata usiniponye bado nitaaminiUkinijibu nitaamini , Hata usinijibu bado nitaaminiUkibadilisha nitaamini , Hata usibadilishe bado nitaaminiKwenye uvuli wa mauti bado nitaaminiNina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
 

Download Mp3 Here

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending Music