Connect with us

GospelMusic

Zabron Singers – Atafanya Kitu

Atafanya Kitu by Zabron Singers Mp3 Download

Get this song by Zabron Singers titled Atafanya Kitu. The Zabron Singers are anEast African musical ensemble known for their soul-stirring gospel tunes that have captured the hearts of audiences far and wide. The song will make your playlist if love good music.

Use the link below to stream and download Atafanya Kitu by Zabron Singers.

Lyrics Of Atafanya Kitu by Zabron Singers

Ukihesabu utachoka kuna ya juzi jana leo pia kesho Mungu kufanya
Huku kwetu hakunaga hofu mashaka wasiwasi twajiamini tuko na Mungu
Mimi sio yule wa zamani wa kulia lia Mungu kanitoa huko mi namfurahia
Sasa nimehama kitengo cha kulia lia nimehamia level zingine za kufurahia
Aliumba mchana usiku lipi gumu la kumshinda Mungu
Huyu Mungu hufanya Zaidi Zaidi ya mtu na mahitaji

Ametenda mengi kwangu hebu subiri na wewe Mungu atafanya kitu
Usichoke ndugu yangu subiri subiri na wewe huyu Yesu atafanya kitu
Ametenda mengi kwangu hebu subiri na wewe (subiri) Mungu atafanya kitu
Usichoke ndugu yangu subiri subiri na wewe huyu Yesu atafanya kitu
Subiri subiri hee subiri

Huku kwa Yesu tukipata shida mateso tunasema na Yesu anatatua
Twashukuru na kuimba sifa zake ni yeye asitahiri kuinuliwa
Mungu katufanya tuimbe na kumtukuza tuvae tung`ae tuishi na kufurahia
Siwezi mangapi kanisimia mipaka nivuke na jina nikamtukuze
Kwa tiketi ya jina la yesu hakuna jambo gumu kutushinda
Sifa zake zipande zipande asante Bwana umeituinua

Ametenda mengi kwangu hebu subiri na wewe Mungu atafanya kitu
Usichoke ndugu yangu subiri subiri na wewe huyu Yesu atafanya kitu
Ametenda mengi kwangu hebu subiri na wewe (subiri) Mungu atafanya kitu
Usichoke ndugu yangu subiri subiri na wewe huyu Yesu atafanya kitu

Download Mp3 Here

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending Music