Connect with us

GospelMusic

Rose Muhando – Sitanyamaza

Sitanyamaza by Rose Muhando Mp3 Download

Get this song by Rose Muhando titled Sitanyamaza. Rose Muhando is a Tanzanian gospel singer, songwriter and choreographer. She is regarded as one of the best gospel singers of her generation with popular songs The song will make your playlist if love good music.

Use the link below to stream and download Sitanyamaza by Rose Muhando.

Lyrics Of Sitanyamaza by Rose Muhando

Eeeehhhh… Mimi Mungu (Me, God)Matendo nitalia, Kwa sinani nitaombolezaSodoma nitanung’unika, Mipakani nitashambuliaMijini wameniacha, Kila mara nitashambuliaMaisha ya wanadamu, Yamenichosha.Oh oh mimiSitanyamaza, wala sitanyamazaLakini nitalipa ujira wa vifuani mwaoMaovu yenu ninyi, pamoja na baba zenuNasema nitalipa ndio mjue mimi ni BwanaMmefukiza uvumba, na kunitukanaKwa ajili ya haya mtajutia vitani mwenu?
Sitanyamaza, wala sitanyamazaLakini nitalipa ujira wa vifuani mwaoMaovu yenu ninyi, pamoja na baba zenuNasema nitalipa ndio mjue mimi ni BwanaMmefukiza uvumba, na kunitukanaKwa ajili ya haya mtajutia vitani mwenu?
Mmefanya uzinzi katikati ya milimaUsiku wa manane mmefanya ukahabaKwenye njia kuu na vichochoro mmefanya mapatanoKwenye mialoni na mipera mmefanya machukizo
Mmefanya uzinzi katikati ya milimaUsiku wa manane mmefanya ukahabaKwenye njia kuu na vichochoro mmefanya mapatanoKwenye mialoni na mipera mmefanya machukizo
Ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahabaKila kijana aliyepita ulimwona anafaaAwe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda
Ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahabaKila kijana aliyepita ulimwona anafaaAwe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda
Wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakondaWako wapi mapenzi zako mbona sasa unakondaWako wapi wapenzi wako mbona sasa unakondaWako wapi waelizamu (?) wako mbona sasa unakonda
Miji mizuri imekuwa ukiwaMajumba mazuri yamefungwa kabisaWana wa wana wamebaki yatimaKiburi chamuwamu(?) imekoma kabisa
Miji mizuri imekuwa ukiwaMajumba mazuri yamefungwa kabisaWana wa wana wamebaki yatimaKiburi chamuwamu(?) imekoma kabisa
Hebu sasa piga kelele uliyeka habaaShika kinubi omboleza upate kukumbukwa
Hebu sasa piga kelele uliyeka habaaShika kinubi omboleza upate kukumbukwa
Nirudieni mimi niwasamehe, Nasema mgeukeni sasa niwaponye 5
Lakini Bwana asema hivi, nitawaponyaYeye mwenyewe aahidi, nitawabarikiMimi ni alfa na omega ayyoyo, mwanzo na mwishoJamani mimi ni mungu, mwingine hapana
Lakini Bwana asema hivi, nitawaponyaYeye mwenyewe aahidi, nitawabarikiMimi ni alfa na omega ayyoyo, mwanzo na mwishoJamani mimi ni mungu, mwingine hapana
Nirudieni mimi niwasamehe, Nasema mgeukeni sasa niwaponye 7 to fade
 
Download Mp3 Here

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending Music