GospelMusic
Rose Muhando – Tabu Zangu
Tabu Zangu by Rose Muhando Mp3 Download
Get this song by Rose Muhando titled Tabu Zangu. Rose Muhando is a Tanzanian gospel singer, songwriter and choreographer. She is regarded as one of the best gospel singers of her generation with popular songs The song will make your playlist if love good music.
Use the link below to stream and download Tabu Zangu by Rose Muhando.
Lyrics Of Tabu Zangu by Rose Muhando
HallelujahNaitazamia mbingu mpya na nchi mpyaHuko nitapumzika milele
Taabu zangu zikiisha, nitamwona Bwana wanguAkinikaribisha kule, karibu upumzikeHapa ndipo nyumbani kwako, hapa ndipo mahali pakoHapa ndipo makao yako, karibu upumzike
Haleluya nitaketi kwa furaha, nitapumzika kwa mungu, nitapumzika
Nitavikwa mavazi meupe, nitavikwa taji ya ushindiTaabu zote na mateso yote, hakika vitakomaNitaungana na malaika, maserafi na makerubiTukiimba nyimbo za ushindi, haleluya usifiwe
Naona mbingu zimefunguka, na Yesu yu mkono wa kuumeAkinitazama kwa upole, kwa macho yenye hurumaNaona mbingu zimefunguka, na Yesu yu mkono wa kuumeAkinitazama kwa upole, kwa macho yenye huruma
Tatazama vidonda vyangu, tatazama makovu yanguNiloumizwa duniani, na watu wa ulimwenguTatazama vidonda vyangu, tatazama makovu yanguNiloumizwa duniani, na watu wa ulimwenguTachukua kitambaa, atanifuta machoziAkisema pole mwanangu, Yesu tanikumbatia
Bado kitambo kidogo, nitapumzika
Yesu atanipeleka, kwenye kijito cha uhaiHuko taniosha mwili wangu, nitapewa mwili mpyaNami nitaimba hosana, hosana ndiye mbarikiwaNitaruka kama ndama, milele hata mileleYesu atanipeleka, kwenye kijito cha uhaiHuko taniosha mwili wangu, nitapewa mwili mpyaNami nitaimba hosana, hosana ndiye mbarikiwaNitaruka kama ndama, milele hata milele
Tavumilia, kwa ajili yako BabaYatosha walivyokuonea, Yatosha walivyokudhulumuYatosha walivyokupiga, karibu upumzikeYatosha walivyokuonea, Yatosha walivyokudhulumuYatosha walivyokupiga, karibu upumzikeYatosha walivyokuudhi, Yatosha walivyokutukanaYatosha walivyokuzomea, karibu upumzikeYatosha walivyokuudhi, Yatosha walivyokutukanaYatosha walivyokuzomea, karibu upumzikeHaleluya, mateso yangu yakiisha nitauona uso wa MunguNitamwona Yesu niliyepigwa kwa ajili yake
Yatosha walivyokuonea, Yatosha walivyokudhulumuYatosha walivyokupiga, karibu upumzikeYatosha walivyokuonea, Yatosha walivyokudhulumuYatosha walivyokupiga, karibu upumzikeYatosha walivyokuudhi, Yatosha walivyokutukanaYatosha walivyokuzomea, karibu upumzike
Yesu atanipeleka, kwenye kijito cha uhaiHuko taniosha mwili wangu, nitapewa mwili mpyaBaada ya taabu, ni furaha
-
NaijaMusic4 months agoRuby Amanfu – Beautiful You are
-
NaijaMusic4 months agoFeranmi Golden Angel – Humble Cry ft. Toluwanisings
-
NaijaMusic4 months agoKhenyzee – FaceTime12 (Acoustic Version)
-
NaijaMusic4 months agoJerry Jarah – Ko Na Sufa
-
NaijaMusic5 months agoDbn Nyts – Shumaya
-
NaijaMusic2 years agoMirabel Somi – Good God(Lyrics)
