NaijaMusic
Harmonize – Vibaya
Vibaya by Harmonize Mp3 Download
Get this song from Harmonize titled Vibaya. Rajab Abdul Kahali, also known by his stage name Harmonize, is a Tanzanian Bongo Flava recording artist, and entrepreneur. Throughout his career, Harmonize has worked with many other African musicians, including Burna Boy, Yemi Alade, Ruger, Sarkodie and Naira Marley. The song will make your playlist if love good music.
Use the link below to stream and download Vibaya by Harmonize.
Lyrics Of Vibaya by Harmonize
B boy, mmOh-wah, ah, oh-wahOh-wah, ah, oh-wahOh-woah-woah-oh
Alisema mapenzi vitaMi na yeye tuungane kuwateketeza maadui, eh, maaduiBadala ya miezi kupita, aahVikombe lazima vigonganeNa sio kwamba hayajui, eh, hayajui
Pigo za kusema vya ndani mi sinaga hizoAma kumtafuta mchawi ni nani ni kuongeza tatizoTulia hapa tutakuwa wa ndani hadi paradisoNa tukatangaza kweupe mambo hadharaniNa tattoo ndo hizo, oh-oh-oh-oh-oh
Sitaki kuamini kwambaLile kapu la mabaya yanguHalina hata machache mema, oh, memaNitakuwa mshambaNikiyasema yote mabaya ya mwenzanguIli nionekane mwema
Japo mapenzi yanaumizaI wish tusisemane (vibaya) oh-le-le-le (vibaya)Ili kesho tusizikane (vibaya) oh-no-no (vibaya)Usiwasikilize wapambe (vibaya)Wanachotaka maneno (vibaya) ili kesho watuchambe (vibaya) oh-oh-oh-oh (vibaya)
Oh-wah, ah, oh-wahOh-wah, ah, oh-wahOh-woah-woah-oh, mm-mm
Nitunzie siri zanguNami nitunze zako za miaka rudi nendaKuna leo na kesho, mm-mm-mmHata maadui zangu walikuwaga maadui zakoHawawezi kukupendaWanakuvuta uwe kichekesho, mm-mm
Maana hata ukisambazaPicha zangu za aibu ni sawaHata hunikomoiNa hata utupu wako ukiutandazaKwa watu wangu wa karibu sio dawa, hujengi hubomoi, eh-eh-eh-eh-eh
Mama kuna kamchezoMtunze mtoto wakoNa watu wenye majungu, majunguNilikubali kuviacha vya dezoSababu ya mapenzi yakoNikaachana na mzungu, mzungu
Maneno yao utadhani wanakuteteaKumbe tudhalilishane wanachongojeaUsiwape faida wambeaNa ni kama kawaida nakuombea
Sitaki kuamini kwambaLile kapu la mabaya yanguHalina hata machache mema, oh, memaNitakuwa mshambaNikiyasema yote mabaya ya mwenzanguIli nionekane mwema
Japo mapenzi yanaumizaI wish tusisemane (vibaya) oh-le-le-le (vibaya)Ili kesho tusizikane (vibaya) oh-no-no (vibaya)Usiwasikilize wapambe (vibaya)Wanachotaka maneno (vibaya) ili kesho watuchambe (vibaya) oh-oh-oh-oh (vibaya)
Oh-wah, ah, oh-wahOh-wah, ah, oh-wahOh-woah-woah-ohOh-oh-oh-oh
Konde Music WorldwideB Boy, thank you for the soundSound, sound, sound
-
NaijaMusic4 months agoRuby Amanfu – Beautiful You are
-
NaijaMusic4 months agoFeranmi Golden Angel – Humble Cry ft. Toluwanisings
-
NaijaMusic4 months agoKhenyzee – FaceTime12 (Acoustic Version)
-
NaijaMusic4 months agoJerry Jarah – Ko Na Sufa
-
NaijaMusic4 months agoDbn Nyts – Shumaya
-
NaijaMusic2 years agoMirabel Somi – Good God(Lyrics)
